Wale tunaomuua Simba leo tukutane hapa

Wale tunaomuua Simba leo tukutane hapa

Leo Simba mnyama mkali mwituni (in Greatest Of All Time 's voice) anacheza na Marumo Gallants ya hapa Bongo, hivyo Mimi kama Afisa Ubashiri Mwandamizi Daraja D (Iwapo Mama akifanya kweli May hii naenda Daraja E) napenda kuwasanua kuhusu mchongo pesa.

Popote ilipo hii game,iwe 1,xbet au Sportybet we muue mnyama,chinja katakata kabisa

Mpaka sasa Sportybet odds zimeshagonga 18 Ruvu Shooting ashinde na ashinde au adroo inasoma 4.10,na droo inasoma 7.40

Hivyo Mimi kama Afisa Mwandamizi Ubashiri nakushauri muue mnyama na ukimuonea huruma mpo Ruvu Shooting double chance

Ruvu Shooting msiniangushe.
Wachawi mshakutana?
 
Back
Top Bottom