Wale tunaopenda kupika

Wale tunaopenda kupika

Usikate tamaa mmoja wa hawa anaweza kabisa kukusaidia hadi ukaona improvement. Na mapishi ya chapati si mchezo lakini kwa wajuzi wanaona ni kitu rahisi mno.

Nimeshafundishwa sana ila matokeo yake ni zero. Nimeamua kuachana nazo
 
Usikate tamaa mmoja wa hawa anaweza kabisa kukusaidia hadi ukaona improvement. Na mapishi ya chapati si mchezo lakini kwa wajuzi wanaona ni kitu rahisi mno.
Asante kwa kunipa matumaini nitarudi darasani kujaribu tena kwa mara nyingine,labda nitaweza
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana ila usikate tamaa. Jitahidi angalau uwe unajaribu mara moja kwa wiki kwa chapati chache tu kwa kufuata ushauri toka kwa hawa ila kutengeneza ule mduara nako ni kazi.

Huwa nazitamaniki hata kidogo,naishiaga kuzitupa kabla watu hawajaziona [emoji85]
 
Back
Top Bottom