Habari watafutaji
Mm nimekuwa muhanga wa ili jambo asee na hii ni kitokana na mishe nyingi za mchana yan ile kitendo cha kuweka ubavu kitandani na kupitia post mbili tatu za umu jf unajikuta umeamshwa kesho na jogoo la mama mwenyewe nyumba
Kuna mupenzi tuliachana kisa eti simwambii usiku mwema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uyu wasasa nae imekuwa tatizo sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]