Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
la piliLa ngapi mkuu
Bila shaka hivi viwili uko hoi kabisaKwenye huu uzi wa tunaoshangilia Cape Verde hawa mashabiki wa Shithole Country wametoka wapi? kafungueni uzi wenu mkashangilie huko eboo
nan kashndala pili
nakumbuka tuliwah wapiga kamba 3 au 5 tena ngassa alipiga hatrickHawa watoto walitubahatisha tu
kafidia penalty c oSamatta
Starsnan kashnda
Kwani wongo???Watasema wako bize wanamtafuta Mo!
Tulieni hivyo hivyo!
Mkuu wongo ndio nnKwani wongo???
Asante mkuuPoleni Cape Verde fans!!
Show za wakubwa hawaziweziBila shaka hivi viwili uko hoi kabisa
Kabisaaaa mkuuShow za wakubwa hawaziwezi
Huu sio umama.... Ni uoumbavuWale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa.
Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha, tusidhalilishe wakiwa kwao.
Karibuni...