Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Wale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa.

Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha, tusidhalilishe wakiwa kwao.

Karibuni...
mtapata tabu saana
 
Mimi mr Amani bila kushawishiwa ama kutishiwa na mtu rasmi naunga juhudi ya timu yangu yataifa TAIFA STARS

Nime fanya uchunguzi wa kisayansi nikagundua capverde walikua wana tuhadaa wananchi niwe mkweli kwa watanzania wenzangu TURUDINI NYUMBANI KUMENOGA
 
Hahaha.. Haya ndo mambo tuliyokua tunayataka, sijui siku zote walikua wapi??? Hongera Taifa Stars.
 
Tutat
Mkuu baada ya kushinda leo.. Sisi (Cape Verde) tutakua na pointi 7 huku nyinyi mkibakiwa na pointi zenu 2. Hapo zimebakia mechi 2, ambapo tukishinda mechi 1 tu, hamtukamati.
Nyinyi mtabakia na mechi 2 ambazo zote mnatakiwa mshinde. Angalizo kati ya hizo mechi mojawapo mtakutana na Uganda inayoongozwa na Okwi.. Mnatokaje sasa?!!
Tutatoboa tu, lazima kieleweke, nilisema wametufunga kwao nasi tutawafunga kwetu, na hill limetimia, asante vijana wetu, sasa tunatembea kifua mbele.huu moto hadi Cameroon,tunaweza maana nia tunayo,uwezo upo, Viva watanzania wenzangu, mapambano bado yanaendelea.
 
Unaudhi sana we jamaa/dada....Kina Manji,Zakaria,Manara na Mo walikuwa/ni CCM zaidi yako....nyie ndo mnavunja moyo watu kuipenda nchi yetu.Kila kitu mnataka kionekane uCCM badala ya uTanzania.
Acha kuandika pumba tafadhali.
 
Mimi mr Amani bila kushawishiwa ama kutishiwa na mtu rasmi naunga juhudi ya timu yangu yataifa TAIFA STARS

Nime fanya uchunguzi wa kisayansi nikagundua capverde walikua wana tuhadaa wananchi niwe mkweli kwa watanzania wenzangu TURUDINI NYUMBANI KUMENOGA
Turudi tu mkuu, Aibu zetu
 
Back
Top Bottom