Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,455
mtapata tabu saanaWale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa.
Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha, tusidhalilishe wakiwa kwao.
Karibuni...
Wengine wamejificha ufipa.Ina mana humu mshangiliaji wa Cape Verde nimebaki peke angu au??
We mtu ni mshamba sana....unadhani nchi ya babaako hii? Taifa stars na Bavicha vinahusiana vipi...uwe unaacha upuuzi au shoga wewe?.Wengine wamejificha ufipa.
Punguza jazba basi.We mtu ni mshamba sana....unadhani nchi ya babaako hii? Taifa stars na Bavicha vinahusiana vipi...uwe unaacha upuuzi au shoga wewe?.
Unaudhi sana we jamaa/dada....Kina Manji,Zakaria,Manara na Mo walikuwa/ni CCM zaidi yako....nyie ndo mnavunja moyo watu kuipenda nchi yetu.Kila kitu mnataka kionekane uCCM badala ya uTanzania.Punguza jazba basi.
Hahaha.. Haya ndo mambo tuliyokua tunayataka, sijui siku zote walikua wapi??? Hongera Taifa Stars.Mimi mr Amani bila kushawishiwa ama kutishiwa na mtu rasmi naunga juhudi ya timu yangu yataifa TAIFA STARS
Nime fanya uchunguzi wa kisayansi nikagundua capverde walikua wana tuhadaa wananchi niwe mkweli kwa watanzania wenzangu TURUDINI NYUMBANI KUMENOGA
Mmefungashwa mbili mtungi,Mkuu usijali kuhusu hilo.. Mda huu nipo jukwaani na Miss Cape Verde ananipa story za hapa na pale kuhusu jiji la Praia.
Aisee kwa jinsi palivyo, baada ya mechi sibaki Bongo.
Tutatoboa tu, lazima kieleweke, nilisema wametufunga kwao nasi tutawafunga kwetu, na hill limetimia, asante vijana wetu, sasa tunatembea kifua mbele.huu moto hadi Cameroon,tunaweza maana nia tunayo,uwezo upo, Viva watanzania wenzangu, mapambano bado yanaendelea.Mkuu baada ya kushinda leo.. Sisi (Cape Verde) tutakua na pointi 7 huku nyinyi mkibakiwa na pointi zenu 2. Hapo zimebakia mechi 2, ambapo tukishinda mechi 1 tu, hamtukamati.
Nyinyi mtabakia na mechi 2 ambazo zote mnatakiwa mshinde. Angalizo kati ya hizo mechi mojawapo mtakutana na Uganda inayoongozwa na Okwi.. Mnatokaje sasa?!!
Acha kuandika pumba tafadhali.Unaudhi sana we jamaa/dada....Kina Manji,Zakaria,Manara na Mo walikuwa/ni CCM zaidi yako....nyie ndo mnavunja moyo watu kuipenda nchi yetu.Kila kitu mnataka kionekane uCCM badala ya uTanzania.
Turudi tu mkuu, Aibu zetuMimi mr Amani bila kushawishiwa ama kutishiwa na mtu rasmi naunga juhudi ya timu yangu yataifa TAIFA STARS
Nime fanya uchunguzi wa kisayansi nikagundua capverde walikua wana tuhadaa wananchi niwe mkweli kwa watanzania wenzangu TURUDINI NYUMBANI KUMENOGA
Luna hana ya kukuhoji uraia wako mkuuGor gor gor goooool gooooo, ni mbwana Ally samata kutoka shithole country