Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Cc Rais wa UfaransaInamaana wazungu wanaooa wanawake waliowazidi miaka 10 hawajiamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc Rais wa UfaransaInamaana wazungu wanaooa wanawake waliowazidi miaka 10 hawajiamini
Kwan c navyo vitakua vikubwa...mbona mnapenda shortcut? Mnapenda waliokwishakuzwa?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Watu wazima wanajielewa, visichana vidogo vitakupa stress tu maana bado damu changa
Dori wangu hujambo nimekumiss vile..! Nitakuja makutano junction nikusalimie..Inamaana wazungu wanaooa wanawake waliowazidi miaka 10 hawajiamini
Mi 3 au mi 2Unataka akuzidi miaka mingapi hivi??
hata mimi sikubaliani na hilo wazo, labda kweli atoe mahari sio kwa namna hiyooUnataka kuoa Mke utakae kuwa unampa shikamoo baada ya kuamka...!?
Labda kama atatoa yeye Mahali...
Haipendezi kwa kweli shemNaona unawapa promo Single Mother...
Mimi kuoa mwanamke aliyenizidi umri siwezi
Hahaha eti mikono na miguu..poa shemHaipendezi kwa kweli shem
Nakuunga mkono na miguu