Wale tunaotumia bia za nyumbani krisimasi hii tukutane hapa na kupongezana. Mimi kama kawa ni mwendo wa Balimi Extra lager baridii. Wewe je?

Wale tunaotumia bia za nyumbani krisimasi hii tukutane hapa na kupongezana. Mimi kama kawa ni mwendo wa Balimi Extra lager baridii. Wewe je?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
image_search_1640438059193.jpg


image_search_1640437872991.jpg
 
Mimi naona hom yamenishinda niko Mitaa ya LaChaaaz mdogo mdogo mpaka Joto lipungue. Mwendo wa Soft drink tu
 
Nadhani unamaanisha local beer sio kunywa nyumbani kama ni hivo basi mimi nakula mlima a.k.a Kilimanjaro lager.
 
Hebu jaribu CASTLE LITE ya baridi hapo uwe umekula nusu mkia wa ng'ombe au utumbo wa mbuzi wa kuchoma pamoja na hashua mbili.
Halafu Kuna barmaid mmoja umemnunulia kuku choma nusu na Serengeti lite. Hachezi mbali kila dakika anafuta futa chupa, glasi yako na meza. Halafu Kuna mziki wa madilu kwa mbaaali. Aluhhh
 
Walevi bana akili zenu ni kama mdomo wa chupa ya bia, sasa hili nalo la kufungulia uzi
 
castle lite ya 3 Sasa hv,Niko zangu home ,napiga mdogo mdogo ,sitaki karaha leo!!
 
Mie nimepiga k vant ndogo moja, nikakuta Dimpo na grants ndogo na mix mdogo mdogo nafurahi kuzaliwa kwa yesu kristo
 
Dah hongera sana unapumzika sikukuu na familia wanaume wengi huwa wanazurula huko kwenye bar na kusahau ku enjoy na familia.
 
Pombe za kunywea nyumbani [emoji849]wengine tumeshazoea fujo za Bar na mabaamedi
Nyie huwa mnakosa mda wakukaa na ku bond na watoto mkizeeka mnaanza lalama, kuwa wake zenu wanalisha watoto sumu.
 
Back
Top Bottom