Nakupongeza kwa kujua lengo hasa la sikukuu ni kukaa na familia/nyumbani na ku-enjoy huku ukijivunia kinywaji cha nchi asili ya nchi yako.
Bia yetu kanda yetu😀
Nyie huwa mnakosa mda wakukaa na ku bond na watoto mkizeeka mnaanza lalama, kuwa wake zenu wanalisha watoto sumu.Pombe za kunywea nyumbani [emoji849]wengine tumeshazoea fujo za Bar na mabaamedi