Wale tunaounga mkono 'Mafanikio ya Serikali' tufahamiane.....!

system hacker

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
426
Reaction score
713
Achana na siasa za CCM na CHADEMA kutwa kuparurana.

Kuna wale sisi ambao tunaunga mkono 'Mafanikio ya Serikali' bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Wengine wapinzani, CCM na wengine hata chama hawana.

Sometimes Jukwaa la Siasa liwe na nyuzi laini laini km huu sio kila saa nyuzi ngumu ngumu tu! Kuparurana tuwaachie wana siasa wa CCM na CHADEMA.

Waunga mkono 'Mafanikio ya Serikali' tufahamiane hapa, ikiwezekana nigongee kabisa PM ukisema 'Halla Serikali' .....!

Naanza mimi mwenyewe,

'Halla Serikali'
 
Mmefunguliwa account nyingi kweli, inaonekana malipo sio haba. Shaka anafanya kazi yake, Ila huku ni ngumu kufanya kazi mliyopewa, ingieni mtaani muifanye.

Kazi iendelee
 
Kwa nini hawawezi mkuu?Au kwa sababu hakuna polisi humu na wanatakiwa kutumia akili zao? Hahahahaaa
 
Uungwana na utu kazi iendelee
 
Mmefunguliwa account nyingi kweli, inaonekana malipo sio haba. Shaka anafanya kazi yake, Ila huku ni ngumu kufanya kazi mliyopewa, ingieni mtaani muifanye.

Kazi iendelee
Kwani ni kubaya kukubali Serikali inajitahidi?
 
Achana na siasa za CCM na CHADEMA kutwa kuparurana.

Kuna wale sisi ambao tunaunga mkono 'Mafanikio ya Serikali' bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Wengine wapinzani, CCM na wengine hata chama hawana.

Sometimes Jukwaa la Siasa liwe na nyuzi laini laini km huu sio kila saa nyuzi ngumu ngumu tu! Kuparurana tuwaachie wana siasa wa CCM na CHADEMA.

Waunga mkono 'Mafanikio ya Serikali' tufahamiane hapa, ikiwezekana nigongee kabisa PM ukisema 'Halla Serikali' .....!

Naanza mimi mwenyewe,

'Halla Serikali'
Halla Serikali!!
 
Back
Top Bottom