system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 713
Kwa nini hawawezi mkuu?Au kwa sababu hakuna polisi humu na wanatakiwa kutumia akili zao? HahahahaaaMmefunguliwa account nyingi kweli, inaonekana malipo sio haba. Shaka anafanya kazi yake, Ila huku ni ngumu kufanya kazi mliyopewa, ingieni mtaani muifanye.
Kazi iendelee
Hahahaha. Kwani una wasiwasi gani wakiomba kadi, kuna ubaya?Huwa inaanza hivihivi mwishowe mnapanda jukwaani kuomba kadi na ubatizo.Ingawa si mbaya.
Zingatia pale mwisho nimeandika..."ingawa si mbaya"...Hahahaha. Kwani una wasiwasi gani wakiomba kadi, kuna ubaya?
Kwani ni kubaya kukubali Serikali inajitahidi?Mmefunguliwa account nyingi kweli, inaonekana malipo sio haba. Shaka anafanya kazi yake, Ila huku ni ngumu kufanya kazi mliyopewa, ingieni mtaani muifanye.
Kazi iendelee
Tupo pamoja sana....!Uungwana na utu kazi iendelee
Sawa.Zingatia pale mwisho nimeandika..."ingawa si mbaya"...
Kwani ni zambi?Huwa inaanza hivihivi mwishowe mnapanda jukwaani kuomba kadi na ubatizo.Ingawa si mbaya.
Hahaha safi sana!Samia mpaka 2030 yaaan fulu kutufariji
Alishasema 'ingawa sio zambi'. NimemuelewaKwani ni zambi?
Halla Serikali!Tupo pamoja mkuu
Karibu na wewe upateKwani ni zambi?
Halla Serikali!!Achana na siasa za CCM na CHADEMA kutwa kuparurana.
Kuna wale sisi ambao tunaunga mkono 'Mafanikio ya Serikali' bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Wengine wapinzani, CCM na wengine hata chama hawana.
Sometimes Jukwaa la Siasa liwe na nyuzi laini laini km huu sio kila saa nyuzi ngumu ngumu tu! Kuparurana tuwaachie wana siasa wa CCM na CHADEMA.
Waunga mkono 'Mafanikio ya Serikali' tufahamiane hapa, ikiwezekana nigongee kabisa PM ukisema 'Halla Serikali' .....!
Naanza mimi mwenyewe,
'Halla Serikali'
Halla! Tupo pamoja sana!Halla Serikali!!