Wale tunaowasha friji kwa masaa tujuane hapa

Kazi yako ni kuspika soup ya spinach


Ahh wapi mimi kazi ambazo huwezi kushibia jikoni sitaki 😊😊. Kheri nibaki na kioski changu maana walevi zikishawapanda kichwani huwa napata passwords za maisha kibao
 
Ahh wapi mimi kazi ambazo huwezi kushibia jikoni sitaki [emoji4][emoji4]. Kheri nibaki na kioski changu maana walevi zikishawapanda kichwani huwa napata passwords za maisha kibao
hahahaha tutabadili menu au vp
 
Nimekumbuka friji la home toka mwaka 1998 na bado linadunda tu ukiwasha dakika 20 nyingi baridi mwaaaa na kuganda kabisa
Mwaka 1998 mlikuwa mnaweka nini humo kwenye friji??
 
Kadiri friji inavyopungukiwa vitu ndivyo inavyokula umeme

Jr[emoji769]

Friji yangu nikiijaza vitu inawasha taa nyekundu kuashiria kua umeme unaotumika ni mwingi (hii niliisoma kwenye manual book yake) na hiyo taa itawaka hadi vitu vipate ubaridi wa kutosha ndio itazima
 
Friji yangu nikiijaza vitu inawasha taa nyekundu kuashiria kua umeme unaotumika ni mwingi (hii niliisoma kwenye manual book yake) na hiyo taa itawaka hadi vitu vipate ubaridi wa kutosha ndio itazima
Itatumia umeme mwingi mara tu baada ya kuviweka hivyo vitu vingi ila vikishapata baridi na vikikaa kwa muda basi friji itatumia umm mdogo kuliko ambavyo ingetumia kama friji ingekuwa na vitu vichache.
 
Kila kitu samsung.. mimi na tecno langu nakwama wapi kununua ile lg nayoitamani [emoji22][emoji22]
..
mimi naliwasha saa sita usiku hadi saa sita to saba mchana, hapo vinywaji vya wateja wangu havitopoa [emoji4]
hahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…