Wale tunaowasha friji kwa masaa tujuane hapa

Lifunge tu, kale kaharufu ka friji lisilotumika nakajua
Kananikera aise..nikitaka kugandisha icecubes na zenyewe zinatoka na hiyo harufuπŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Tatizo mnanunua used.
Fridge nyingi za kisasa zimeboreshwa. Hazitumii umeme mwingi.
 
How old are you?!! '98?!! mtaa wa Uhuru Kariakoo umejaa hayo mazagazaga mwanzo mwisho way before '98. Jamani hatuko nyuma kiasi hiki.
I'm 18 years old, shida si kuwa miaka hiyo zilikuwa zinapatikana, ishu ni kuwa ni watu wangapi walikuwa wana uwezo ama uhitaji wa matumizi ya friji. Mkuu nadhani inaifahamu vema jamii yetu.
 
I'm 18 years old, shida si kuwa miaka hiyo zilikuwa zinapatikana, ishu ni kuwa ni watu wangapi walikuwa wana uwezo ama uhitaji wa matumizi ya friji. Mkuu nadhani inaifahamu vema jamii yetu.
Kwamba '98 wenye uwezo au mahitaji ya friji walikuwa wachache?! Hebu acha kudhalilisha Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…