Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Kananikera aise..nikitaka kugandisha icecubes na zenyewe zinatoka na hiyo harufu😔😔😔Lifunge tu, kale kaharufu ka friji lisilotumika nakajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kananikera aise..nikitaka kugandisha icecubes na zenyewe zinatoka na hiyo harufu😔😔😔Lifunge tu, kale kaharufu ka friji lisilotumika nakajua
Then usizime otherwise utatesekaKananikera aise..nikitaka kugandisha icecubes na zenyewe zinatoka na hiyo harufu😔😔😔
Hahahaaaa mzee alikua hataki kupitwaHongereni mkuu, mwaka 98 mnamiliki friji.....😀😀😀
I'm 18 years old, shida si kuwa miaka hiyo zilikuwa zinapatikana, ishu ni kuwa ni watu wangapi walikuwa wana uwezo ama uhitaji wa matumizi ya friji. Mkuu nadhani inaifahamu vema jamii yetu.How old are you?!! '98?!! mtaa wa Uhuru Kariakoo umejaa hayo mazagazaga mwanzo mwisho way before '98. Jamani hatuko nyuma kiasi hiki.
Kwamba '98 wenye uwezo au mahitaji ya friji walikuwa wachache?! Hebu acha kudhalilisha Watanzania.I'm 18 years old, shida si kuwa miaka hiyo zilikuwa zinapatikana, ishu ni kuwa ni watu wangapi walikuwa wana uwezo ama uhitaji wa matumizi ya friji. Mkuu nadhani inaifahamu vema jamii yetu.