GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi nakuwa Namba Moja kwa Mtu nisiyempenda kabisa Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike, Kikosi chake Kibovu alichokichagua na ambaye kila Siku huwa napiga Dua ya Kuiombea mabaya Timu hii ifungwe kwa Aibu huko Mashindanoni AFCON 2019 nchini Misri.
Naomba na wale wengine mlio kama Mimi mjitokeze hapa ili tujuane mapema ili ikiwezekana tuanze Kupanga Mikakati ya kwenda Kumpokea huyu Kocha na Mabango pale JNIA Siku wakirejea na Makapu yao ya Magoli na ikiwezekana hata Kumpopoa na Mawe au Mayai Viza ili ajue kuwa hatumtaki na atuachie Timu yetu.
Tujadili.