1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Abdi Banda
4. Aggrey Morris
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Ibrahim Ajib
9. John Boko
10. Mbwana Ally Samatta ( Captain )
11. Shiza Kichuya
Kwa Kikosi changu hiki na kwa Hamasa Kubwa iliyopo nina uhakika hawa akina Senegal, Algeria na Kenya wangesimama na Taifa Stars ingetinga katika 16 Bora. Na hiki Kikosi nimekipanga Kiufundi kabisa nikizingatia Umuhimu wa Wachezaji, Uwezo wao na Uchezaji wao hasa wakiwa ama ndani au nje ya Watanzania. Na kwa sasa Tanzania hatuna Kikosi Imara na Bora kama hiki ambacho nimekitaja hapa na ukibisha basi utakuwa tu unapenda Mabishano.