Wale tusiompenda Kocha Amunike, Kikosi chake alichokichagua na tunaoiombea mabaya Taifa Stars ili ifungwe tujuane tafadhali

1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Abdi Banda
4. Aggrey Morris
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Ibrahim Ajib
9. John Boko
10. Mbwana Ally Samatta ( Captain )
11. Shiza Kichuya

Kwa Kikosi changu hiki na kwa Hamasa Kubwa iliyopo nina uhakika hawa akina Senegal, Algeria na Kenya wangesimama na Taifa Stars ingetinga katika 16 Bora. Na hiki Kikosi nimekipanga Kiufundi kabisa nikizingatia Umuhimu wa Wachezaji, Uwezo wao na Uchezaji wao hasa wakiwa ama ndani au nje ya Watanzania. Na kwa sasa Tanzania hatuna Kikosi Imara na Bora kama hiki ambacho nimekitaja hapa na ukibisha basi utakuwa tu unapenda Mabishano.
watu mnakazania kichuya ww ndiyo kichuya utakuwa
 
Mimi nakuwa Namba Moja kwa Mtu nisiyempenda kabisa Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike, Kikosi chake Kibovu alichokichagua na ambaye kila Siku huwa napiga Dua ya Kuiombea mabaya Timu hii ifungwe kwa Aibu huko Mashindanoni AFCON 2019 nchini Misri.

Naomba na wale wengine mlio kama Mimi mjitokeze hapa ili tujuane mapema ili ikiwezekana tuanze Kupanga Mikakati ya kwenda Kumpokea huyu Kocha na Mabango pale JNIA Siku wakirejea na Makapu yao ya Magoli na ikiwezekana hata Kumpopoa na Mawe au Mayai Viza ili ajue kuwa hatumtaki na atuachie Timu yetu.

Tujadili.
Hata mimi mkuu ndugu yangu
 
1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Abdi Banda
4. Aggrey Morris
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Ibrahim Ajib
9. John Boko
10. Mbwana Ally Samatta ( Captain )
11. Shiza Kichuya

Kwa Kikosi changu hiki na kwa Hamasa Kubwa iliyopo nina uhakika hawa akina Senegal, Algeria na Kenya wangesimama na Taifa Stars ingetinga katika 16 Bora. Na hiki Kikosi nimekipanga Kiufundi kabisa nikizingatia Umuhimu wa Wachezaji, Uwezo wao na Uchezaji wao hasa wakiwa ama ndani au nje ya Watanzania. Na kwa sasa Tanzania hatuna Kikosi Imara na Bora kama hiki ambacho nimekitaja hapa na ukibisha basi utakuwa tu unapenda Mabishano.
***** alafu jitu linatupangia FEY TOTO sijui sista FEY [emoji2]
 
Mimi nakuwa Namba Moja kwa Mtu nisiyempenda kabisa Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike, Kikosi chake Kibovu alichokichagua na ambaye kila Siku huwa napiga Dua ya Kuiombea mabaya Timu hii ifungwe kwa Aibu huko Mashindanoni AFCON 2019 nchini Misri.

Naomba na wale wengine mlio kama Mimi mjitokeze hapa ili tujuane mapema ili ikiwezekana tuanze Kupanga Mikakati ya kwenda Kumpokea huyu Kocha na Mabango pale JNIA Siku wakirejea na Makapu yao ya Magoli na ikiwezekana hata Kumpopoa na Mawe au Mayai Viza ili ajue kuwa hatumtaki na atuachie Timu yetu.

Tujadili.
ungebainisha kwanza ubovu wa kikosi alichokichagua kisha utoe na mapendekezo yako. Nijuavyo mimi kikosi hakichaguliwi na coach peke yake bali bechi lote la ufundi sasa kumtupia lawama coach peke yake haileti maana
 
Back
Top Bottom