GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ishu siyo kocha, vijana wenu hawajui mpira hata aje Gadiola
Unakariri kijana. Ebu tamka hilo jinaTuheshimu Majina ya Watu na tuyaandike vizuri tafadhali. Hakuna Kocha aitwae Gadiola bali tunae Guardiola pekee.
Unakariri kijana. Ebu tamka hilo jina
Hebu weka kikosi chako ulichopenda kiwe....
zaidi ya kona aliyowafunga yanga kuna nini zaidi kwa kichuya!?...ajibu mvivu,mkude huwa anaomba kocha apunguze mazoezi1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Abdi Banda
4. Aggrey Morris
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Ibrahim Ajib
9. John Boko
10. Mbwana Ally Samatta ( Captain )
11. Shiza Kichuya
Kwa Kikosi changu hiki na kwa Hamasa Kubwa iliyopo nina uhakika hawa akina Senegal, Algeria na Kenya wangesimama na Taifa Stars ingetinga katika 16 Bora. Na hiki Kikosi nimekipanga Kiufundi kabisa nikizingatia Umuhimu wa Wachezaji, Uwezo wao na Uchezaji wao hasa wakiwa ama ndani au nje ya Watanzania. Na kwa sasa Tanzania hatuna Kikosi Imara na Bora kama hiki ambacho nimekitaja hapa na ukibisha basi utakuwa tu unapenda Mabishano.
Kikosi chako kibovu kama kauli zako!! Hicho kikosi kipeleke SIMBA DAY1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Abdi Banda
4. Aggrey Morris
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Ibrahim Ajib
9. John Boko
10. Mbwana Ally Samatta ( Captain )
11. Shiza Kichuya
Kwa Kikosi changu hiki na kwa Hamasa Kubwa iliyopo nina uhakika hawa akina Senegal, Algeria na Kenya wangesimama na Taifa Stars ingetinga katika 16 Bora. Na hiki Kikosi nimekipanga Kiufundi kabisa nikizingatia Umuhimu wa Wachezaji, Uwezo wao na Uchezaji wao hasa wakiwa ama ndani au nje ya Watanzania. Na kwa sasa Tanzania hatuna Kikosi Imara na Bora kama hiki ambacho nimekitaja hapa na ukibisha basi utakuwa tu unapenda Mabishano.
Kati ya watu walioharibu maana ya neno "sifa" ni huyo Kichuya. Sijui "sifa" anazopewa ni za nini?zaidi ya kona aliyowafunga yanga kuna nini zaidi kwa kichuya!?...ajibu mvivu,mkude huwa anaomba kocha apunguze mazoezi
Lini ulifanya mazoezi na hicho kikosi ukaona kiko vizuri au majina yamekuvutia?.1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Abdi Banda
4. Aggrey Morris
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Ibrahim Ajib
9. John Boko
10. Mbwana Ally Samatta ( Captain )
11. Shiza Kichuya
Kwa Kikosi changu hiki na kwa Hamasa Kubwa iliyopo nina uhakika hawa akina Senegal, Algeria na Kenya wangesimama na Taifa Stars ingetinga katika 16 Bora. Na hiki Kikosi nimekipanga Kiufundi kabisa nikizingatia Umuhimu wa Wachezaji, Uwezo wao na Uchezaji wao hasa wakiwa ama ndani au nje ya Watanzania. Na kwa sasa Tanzania hatuna Kikosi Imara na Bora kama hiki ambacho nimekitaja hapa na ukibisha basi utakuwa tu unapenda Mabishano.
Mimi nakuwa Namba Moja kwa Mtu nisiyempenda kabisa Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike, Kikosi chake Kibovu alichokichagua na ambaye kila Siku huwa napiga Dua ya Kuiombea mabaya Timu hii ifungwe kwa Aibu huko Mashindanoni AFCON 2019 nchini Misri.
Naomba na wale wengine mlio kama Mimi mjitokeze hapa ili tujuane mapema ili ikiwezekana tuanze Kupanga Mikakati ya kwenda Kumpokea huyu Kocha na Mabango pale JNIA Siku wakirejea na Makapu yao ya Magoli na ikiwezekana hata Kumpopoa na Mawe au Mayai Viza ili ajue kuwa hatumtaki na atuachie Timu yetu.
Tujadili.
Kichuya huyu hafai hata kuchezea ndanda1. Aishi Manula

Siwezi kuiponda /kudharau kitu chochote kinachowakilisha Taifa langu kwakutafuta sifa mitandaoni!!Mimi nakuwa Namba Moja kwa Mtu nisiyempenda kabisa Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike, Kikosi chake Kibovu alichokichagua na ambaye kila Siku huwa napiga Dua ya Kuiombea mabaya Timu hii ifungwe kwa Aibu huko Mashindanoni AFCON 2019 nchini Misri.