Wale vijana wa Physics na Chemistry A-level!!!

Wale vijana wa Physics na Chemistry A-level!!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Nitaandaa programu ya practical za kufoji kuanzia wiki ijayo, nahitaji vijana ambao wako serious maana nina muda mfupi mno wa kuendesha zoezi hili!! Kama upo tiyari niPM,.
 
duuh kweli chuo siku hizi wanakwenda vilaza,sasa kama olevel na advance wanafoji wakiwa makazini watafanya nini?,mungu mkubwa teacher wangu alikua hapendi hii kitu na sikuwahi kufanya,na nilipata principle ya kuombea maji ya physics but si ya kucheat.
 
hapo ana maana ya paper imehsaliki,huenda wameambiwa waandae vifaa hivyo wameshajua possible maswali
 
Hatujiiii ng'oooo....!!

Unataka tukifika mavyuoni tuumbuke na fojari zetu...

Hatuzihitaji mbivu hizi...!!!

:::😱nly for serious students::::
NiPM nikuelekeze wapi utapata real practicals za chem,phys na biology at cheap prices,
you'll be very compitent,you'll avoid undesirable college dropouts....

......HAKIELIMU.....
 
hapo ana maana ya paper imehsaliki,huenda wameambiwa waandae vifaa hivyo wameshajua possible maswali

Kweli ni BONGOLALA.... 😱 😱

Pepa la advance lina-leak mwezi wa 10, halafu mtihani ni mwezi wa 5...!
 
Last edited by a moderator:
Hatujiiii ng'oooo....!!

Unataka tukifika mavyuoni tuumbuke na fojari zetu...

Hatuzihitaji mbivu hizi...!!!

:::😱nly for serious students::::
NiPM nikuelekeze wapi utapata real practicals za chem,phys na biology at cheap prices,
you'll be very compitent,you'll avoid undesirable college dropouts....

......HAKIELIMU.....

Mh ! Mi real practicals zangu zilkua School kwe2 2 anyway ! Napita 2
 
Back
Top Bottom