Wale viumbe wa Kisuma ya Sugar Ray Night Club hawanipati tena!

Ukiwa mkazi wa Temeke utaenjoy hii porojo.
Siku moja niko Guest pale Kisuma ya Mwembe yanga, nageuza style jamaa nae anahama pale dirishani kutafuta angle murua! Daah wapiga chabo noma.
 
Dah we noma!!
 
mia leo umenichekesha vibaya sana lool
yaani we unawajua hawa
madada pouwa wa jiji zima khaaaaa

mkuu usione tumetulie lakini nyie viumbe tuna wafahamu sana.ndo maana mimi hawa viumbe nawaona wa kawaida saana.waoneni hivyo hivyo wanatembea.ila tuendelee kuonyesha heshima kwa wale wanaojiheshimu.mia
 
mkuu hawa viumbe inaonekana wanakuonea sana.mia

nawashukuru kwa sababu wamenifundisha mambo mengi.sasa hivi sihongeki,sichuniki,sitegeki wala sidanganyiki.sasa hivi wao ndo inabidi wakae chonjo.naweza nkakuchoma nisikupe hata sh 10.mia
 
hehehehehheeeee hii nimeipenda mzee .mia

mkuu hawa viumbe ukiwaona salimia endelea na shughuli zako bila kujali uliyemsalimia ni miss,bonge, mfupi wala mrefu.ukikutana nae kwenye anga zake utakaa chini ulie.ndo maana mimi kiumbe akinikataa nashukuru Mungu kwa kuniepushia balaa.mlio oa tunzeni ndoa zenu.mia
 
Asante kwa kunipa uzioefu. i will be careful nitakapokuwa hapo
 
Ukiwa mkazi wa Temeke utaenjoy hii porojo.
Siku moja niko Guest pale Kisuma ya Mwembe yanga, nageuza style jamaa nae anahama pale dirishani kutafuta angle murua! Daah wapiga chabo noma.

hahahaaa...!wewe ukiwa pale kisuma ya mwembe yanga ka una gari hamna haja ya kuhangaika na guest.park pale katikati ya uwanja wa mwembe yanga.lakini angalia usipaki kwenye michanga utakesha kuitoa gari pale.mia
 
duh kwa hii thread loh wanaume wa bongo noma

wewe nae muoga..!!hukawia kususa hata kusoma thread.usiogope.mbona wanaume wa bongo wapole tu..sema si rahisi kujua mwenye tabia nzuri.nakushauli utulie hadi utakapo olewa.au tulia na ulie nae.mia
 
Ahahahahaah! Mkuu una mauzoefu ya kulizwa na hawa viumbe...mia
 
Ukiwa mkazi wa Temeke utaenjoy hii porojo.
Siku moja niko Guest pale Kisuma ya Mwembe yanga, nageuza style jamaa nae anahama pale dirishani kutafuta angle murua! Daah wapiga chabo noma.

Ahahahaaah!!
 
Bebii unakumbuka ulituambia hakuna mwanaume wa mke mmoja

bebii anaogopa ogopa weeee...!!msijui hadi lini.hata wasichana wako hivo hivo.ukimpata ukasema ni wako peke yako utakua unaidanganya nafsi.
 
Ukiwa mkazi wa Temeke utaenjoy hii porojo.
Siku moja niko Guest pale Kisuma ya Mwembe yanga, nageuza style jamaa nae anahama pale dirishani kutafuta angle murua! Daah wapiga chabo noma.

ni kama ugonjwa fulani hivi.unakuta kila siku anakuja kupiga chabo.dah! mi wananishangaza kweli.nafikili huo ndo unakuwa mwanzo wa kubaka.
 
mkuu kweli wale ni MANGURUBANGE.lakini huwezi amin kwamba ndo hao hao unaopishana nao kitaa.lakini ndo hivyo tena sasa hivi imekula kwao.mia

Mkuu ebu nijuze ile kitu ASHUA bado inapatikana hapo? Ni muda mrefu sijapita maeneo hayo
 
Mkuu ebu nijuze ile kitu ASHUA bado inapatikana hapo? Ni muda mrefu sijapita maeneo hayo

kila kitu unapatasasa hivi pamesha badilishwa jina panaitwa kisuma.sasa hivi wanajenga ghorofa pale.kama una siku nyingi utapotea.mi hata wkend hii ntaenda kumsalimia kaka fulani anakaa maeneo yale.mia
 
hii thread inafanya nitamani weekend ifike!kunanihii raha bana tena ya usiku kucha na kitumbua kipya!
 
Shukran mkuu, nitajaribu kukumbuka enzi
 
hii thread inafanya nitamani weekend ifike!kunanihii raha bana tena ya usiku kucha na kitumbua kipya!

mkuu usiniige mimi,hukawii kuuza nyumba usipokuwa makini.ukifuata njia tembea kwa kunyata.mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…