Wale viumbe wa Kisuma ya Sugar Ray Night Club hawanipati tena!

Wale viumbe wa Kisuma ya Sugar Ray Night Club hawanipati tena!

wana tabia mbaya sana.ukiwa unakunywa zako bia ukigeuka unakuta chupa imeondoka dawa yao ni kutumia tarumbeta kama kawa na chupa nikiweka chini ina maana kitu nmemaliza.
hawa viumbe wanatabia ya kuelekeza sehemu ya kulala wakidai ndo pazuri lakini kesho yake ukiamka unajikuta umeibiwa hadi socks.dawa yao haulali hadi majogoo,ukimaliza shida zako ni kuondoka kulala mbele kwa mbele.hawapati kitu tena.mia
ha ha haaaa japo was long time sasa ukienda hata wewe watakuiba
 
Back
Top Bottom