Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha haaaa japo was long time sasa ukienda hata wewe watakuibawana tabia mbaya sana.ukiwa unakunywa zako bia ukigeuka unakuta chupa imeondoka dawa yao ni kutumia tarumbeta kama kawa na chupa nikiweka chini ina maana kitu nmemaliza.
hawa viumbe wanatabia ya kuelekeza sehemu ya kulala wakidai ndo pazuri lakini kesho yake ukiamka unajikuta umeibiwa hadi socks.dawa yao haulali hadi majogoo,ukimaliza shida zako ni kuondoka kulala mbele kwa mbele.hawapati kitu tena.mia