Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

View attachment 1617824
Tupo pamoja, huyo anaedai tuko offline namwangalia kwa jicho la husda
emoji16.png
Hivi una taarifa kwamba sahivi mnaenda kufanywa vibaya katika soko lenu la iPhone chakavu za makumbusho. The phones coming out from iPhone 12 will be irrepearable. Ikifa unatupa maana hardware tofauti na za kutoka na simu hazifanyi kazi😂😂😂
 
Jam

Jamaa una wivu sana wewe, sio mtu wa kawaida.
 
Hivi una taarifa kwamba sahivi mnaenda kufanywa vibaya katika soko lenu la iPhone chakavu za makumbusho. The phones coming out from iPhone 12 will be irrepearable. Ikifa unatupa maana hardware tofauti na za kutoka na simu hazifanyi kazi[emoji23][emoji23][emoji23]

On the other hand inaepusha substandard parts maana kuna upuuzi mwingi sana kwenye black market alafu kila mtu anajifanya mtaalam, Parts za 5S mtu anaweka kwenye SE , parts za 5 mtu anaweka kwenye 5s na sometimes mteja na muwekaji wote hawajui . Chaguo ni lako
 
Hapa ndio tutawaona wababe wa iPhone. Maana brand mliishusha sana kuuziana iPhone chakavu kila boya anamiliki iPhone.
 
halafu wanakuja kututukana team wereva[emoji205][emoji205][emoji205]
 
Back
Top Bottom