ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Siku ukionja utajilaumu kwanini hukuzaliwa mapema.Pale mbagara Zankem Stend uwiii mida ya jioni Meza za pweza na kacholi zinajaza watu huwa najiuliza hivi hao pweza wana utamu kiasi gani? Mimi nikiwaona tu naogopa hata kuwasogelea wameumbwa vibaya.
Mkuu mimi hata kusogea kwa huyo Samaki siwezi jinsi alivyo mnao kula mna moyo aiseee.