Wale wa bajia kachori pweza supu

Wale wa bajia kachori pweza supu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wale Raia wa mitaani ambao kila siku tunakula kachori kumi ikiwa Ni sawa na viazi kumi sawa na chipsi sahani moja kwa buku tu
IMG_20190115_182001.jpeg
IMG_20190115_182026.jpeg
IMG_20190115_182030.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale mbagara Zankem Stend uwiii mida ya jioni Meza za pweza na kacholi zinajaza watu huwa najiuliza hivi hao pweza wana utamu kiasi gani? Mimi nikiwaona tu naogopa hata kuwasogelea wameumbwa vibaya.
 
pale sinza-mori kuna jamaa anapika hayo mazaga-zaga aise haipiti siku bila kusogea pale.
 
Back
Top Bottom