Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama hujaamshwa, basi unaweza kujikuta unaamka hata saa tatu asubuhi kesho yake.
Najua tupo wengi humu (ingawa nyuma ya keyboard kila mmoja humu anajifanya ni modal man) na tuna sababu tofautitofauti lakini bado tunaweza kushare.
Mwenzenu nimefanikiwa kuoa kabisa na watoto wawili ninao, hata huulizi watoto hawa ni wa nani na wala huwezi kuhitaji DNA kwani tu pamoja kwa kila kitu! Mke pamoja nami mwaka wa 10 huu sasa, ufundi wa viungo vingine kama mikono, ulimi n.k vikitumika kwa umaridadi mkubwa kuziba ombwe........mke nikijaribu kumtishia kumwacha vilio vyenyewe si vya nchi hii; anagalagala hadi huruma. Mara ya kwanza, katika hali hii, nilifikiri anaigiza tu lakini nilipojaribu mara ya pili, tatu hadi nne hali ikawa vilevile huku mke nikimtoa katika eneo linalosifika kwa wanawake kutopenda kuolewa nikapata imani. Sikuishia hapo, nikaitafuta michepuko miwili mitatu nje nako nikaona inaniganda hadi kero.........ile yenye uwezo ilikuwa inanipiga kampani balaa.
Wenzangu mnatumia mbinu gani huko kuwaweka sawa wake/wenza wenu?!!!
Come on out there, let's share!
Angalizo: kamwe siendi chumvini!