Wale wa Bulima Sekondari tucheke kidogo

Wale wa Bulima Sekondari tucheke kidogo

Lugulu

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
482
Reaction score
175
Wana JF. Mi nlikuwepo hapo Buseco kati ya 95 na 98... Namkumbuka sana Bob Male a.k.a Sulya mzee wa nidhamu. Headmasta na gwanda la kijani na jeans tight... Wa2 2kiona hivi 2najua kuna msala... Je Madenge alipokamatwa ugoni na Mwl. mwenzake... Hebu 2kumbushane na zile safari za kwenda rest. Karibuni 2furahi kwa kukumbuka 2likotoka.
 
Back
Top Bottom