Wale wa bvm - tuhabarishane

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
9,314
Reaction score
7,149
Wakuu wale wa SUA kwa Kozi ya BVM tupeane habari jinsi msuli wake ulivyokaakaa. Pia kuhusu mambo ya mikopo yakoje kwa hiyo Kozi? Ndugu zetu mliotutangulia huko tupeni nyepesi nyepesi kuhusu hii kitu inayoitwa BVM. Maana huku mitaani jamaa wanaweza kukutisha mpaka ukajiona kama ulikosea njia vile!! Hivi kwa mtu ambaye hakusoma Chemistry anaweza kuchomoka kweli? Au ajipange namna gani?
 
ze duduz wap upo mkuu?? Kuna watu wanahutaj msaada huku!!
 
Last edited by a moderator:
Mkopo mnapewa 100% bila kurudisha kama daktari wa kawaida ila ujipange na msuli pale hakuna utani swala la kuaga mashindano ni kawaida
 
Mkopo mnapewa 100% bila kurudisha kama daktari wa kawaida ila ujipange na msuli pale hakuna utani swala la kuaga mashindano ni kawaida

Mkuu hii mambo ya kutishiana amani haifai kabisa! Ila tumejipanga kikamilifu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…