Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Wakuu wale wa SUA kwa Kozi ya BVM tupeane habari jinsi msuli wake ulivyokaakaa. Pia kuhusu mambo ya mikopo yakoje kwa hiyo Kozi? Ndugu zetu mliotutangulia huko tupeni nyepesi nyepesi kuhusu hii kitu inayoitwa BVM. Maana huku mitaani jamaa wanaweza kukutisha mpaka ukajiona kama ulikosea njia vile!! Hivi kwa mtu ambaye hakusoma Chemistry anaweza kuchomoka kweli? Au ajipange namna gani?