Wale wa cuhas- year 1 md 2012

Wale wa cuhas- year 1 md 2012

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Kama kuna anayejua mchanganuo wa loan allocation ya 5,312,500 anisaidie nijue nadaiwa kiasi gani cha kuongezea.
1. What is the percent allocation by that amount.
2. Administrative costs-465,000 Tsh zinakuwa included katika loan mwanafunzi aliyopata. Msaada tafadhali.
 
Piga kwa mhazini CUHAS atakujulisha.
Au ingia kwenye web ya CUHAS...
Ila kwa uzoefu unatakiwa uongeze tena kama hizo ili uweze kuSURVIVE maisha ya jijini.
 
Piga kwa mhazini CUHAS atakujulisha.
Au ingia kwenye web ya CUHAS...
Ila kwa uzoefu unatakiwa uongeze tena kama hizo ili uweze kuSURVIVE maisha ya jijini.

Asante kwa taarifa. Joining instructions hazina zaidi ya hapo. Kama hizo ngapi zipi? Naomba namba ya Mhazini kama unayo.
 
kwa kukusaidia ni kwamba mnapewa 2.6M wakati karo yenu ni 3.7M,,,,afu mambo mengine ambayo yanatolewa na heslb ni meals and accomodation around 2.25M,,,Books and stationary 0.2M,,,,Special faculty requirements 0.15M kama hela aijatajwa hapo ujue itabidi uilipe!
 
Thanks a lot. Naomba kujua zaidi. Ukijumlisha zote hizo, unapata 4,600,000 Ths. Sasa balance ya 712, 500 Ths ni ya nini.
 
Back
Top Bottom