Wale wa diploma tushauriane kuhusu HELSB

Wale wa diploma tushauriane kuhusu HELSB

Donil

Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
40
Reaction score
6
Jamani sisi tuliopitia vyuo vya kati(diploma holders) karibia wote tumekosa mikopo ya kusoma elimu ya juu 2014/15 na wengi wetu tuliapply program zenye kipaumbele(priority) kama vile engineering na ualimu lakn hatuna mikopo, sasa je sisi wa diploma tunachukuliwaje??? au bodi ya mikopo na Nacte wanataarifa gani kwetu?? watuambie tu sio kuwa tunatoa elfu 30 kwenye hamna....
 
tunafanana majanga! wachache wamepata..mm hata ucngz umeruka na nilichaguliwa kuchukua medicine...tukikata rufaa watatuelewa kweli?
 
Hapa hadi nahisi kuchzka. Au kwasabab nacte bado wanaendelea na selection kwaiyo wanasubiri kutoa kwaote?? Kikwete baba safari zako zmeifirisi nchi hadi wataalamu wa badae tunakosa mikopo
 
Jamani sisi tuliopitia vyuo vya kati(diploma holders) karibia wote tumekosa mikopo ya kusoma elimu ya juu 2014/15 na wengi wetu tuliapply program zenye kipaumbele(priority) kama vile engineering na ualimu lakn hatuna mikopo, sasa je sisi wa diploma tunachukuliwaje??? au bodi ya mikopo na Nacte wanataarifa gani kwetu?? watuambie tu sio kuwa tunatoa elfu 30 kwenye hamna....

Subiri kjna jna kuna jamaa nlimuangalizia hakuwekewa ila leo asubuh kaingiziwa
 
Subiri kjna jna kuna jamaa nlimuangalizia hakuwekewa ila leo asubuh kaingiziwa

yan mie chuo nilichopangiwa hakijarelease majina nimefuatilia jana wanasema jumanne ndo watatoa n kwny mkopo hakuna kitu nashndwa kuelewa yan
 
Bodi ya mikopo imetupa kule na kuwanyima mikopo asilimia 95% ya wanafunzi waliounga degree waliomaliza mwaka huu 2014 na kudahiliwa kwenye vyuo mbali mbali.. Bado hawajatoa tamko rasmi kuhusiana na hilo lakini majibu ndo hayo...
 
Mm nilienda loan board kuulizia kuhus hii ishu ya mkopo . Majibu niliyopewa n kwamba hawawez kujibu chochot mpk jumatano coz bado hawajamaliza kupanga mkopo so wanadai tuwe na subira. kinachonipa shida ni juu ya mahusiano kat ya NACTE na TCU. Kwann TCU deadline ya transfer ilikua 10 na unalipia na NACTE wamewaruhus watu kufnya transfer bure kuanzia 8 up 20 mwez
 
Huu. sasa swali linalonitatiza inamaan diploma wote hawajapata mkopo au? kwa chuo nilichosoma hakuna hata mmoja aliyepata mkopo labda kama kuna diploma holder amepata atujuze hapa
 
Wale wa diploma jumatatu fikeni ofisi za bodi ya mikopo mapema asubuhi ili kupata jawabu la matatizo yako.
 
sio dip. tu fresh wengi wamekosa na wamefaulu vizur jaman. cjui itakuwaje maana wengine hata ada ya kata ilikuwa shida
 
Hivi bodi ni serikali?

Hii ina maamuzi yake independent na ina board of trustees and directors.

Nendeni jeshi mkirudi ndo muende chuo.

Acheni kulia lia,huko fiesta mnapojazana mnaendaga bure?
 
Ni taasisi ya serikali so serikali ina mkono ndani yake, kuhusu swala la fiesta form 6 hawaendi? Swala la starehe ni hulka binafsi diploma hawafundishwi darasani... Think twice usiongee bila kufikiri cuz hayajakugusa #victorserv
 
Yan wanatuchanganya wengne vyuo tulivyopangiwa had sasa hawajatoa majna jana nimefuatlia ndo wanasema watatoa jumanne
 
Ila Huko Diploma Si Mljilipia Kumbe Mnaweza Bana..

Unajua dit, must na atc wanalipa ada sh ngapi? Wanalipa laki 2 na 30 kwa mwaka majority na wanaishi ndani ya hostel + msosi... Hata tukiacha huko, hamna form 6 waliokuwa wakilipiwa mamilioni? Eg Arusha modern ada 2.4m anashindwa kujilipia chuo? Lakin bado mkopo kapata.. Sikatai wasipate ila na huyu wa diploma aangaliwe
 
Back
Top Bottom