Jamani sisi tuliopitia vyuo vya kati(diploma holders) karibia wote tumekosa mikopo ya kusoma elimu ya juu 2014/15 na wengi wetu tuliapply program zenye kipaumbele(priority) kama vile engineering na ualimu lakn hatuna mikopo, sasa je sisi wa diploma tunachukuliwaje??? au bodi ya mikopo na Nacte wanataarifa gani kwetu?? watuambie tu sio kuwa tunatoa elfu 30 kwenye hamna....
Subiri kjna jna kuna jamaa nlimuangalizia hakuwekewa ila leo asubuh kaingiziwa
Hivi bodi ni serikali?
Hii ina maamuzi yake independent na ina board of trustees and directors.
Nendeni jeshi mkirudi ndo muende chuo.
Acheni kulia lia,huko fiesta mnapojazana mnaendaga bure?
Ila Huko Diploma Si Mljilipia Kumbe Mnaweza Bana..