Wale wa diploma tushauriane kuhusu HELSB

tulien mtapata hii ndio serikali sikivu kwa ya ccm
 
Ww Wa f6 ulisoma bure tena we ndoo umesoma kwa mam million av unaleta ujinga hapa f**
 
Hapa tunasaidian kimawazo sio ishu za kuanza kuweka kejel au kuongea vitu kwa kusanifu watu. kama Huna ishu ya kuandika huku kaa kimya wengn wanapata mambo muhim. mambo ya form six na diploma yanatoka wap wakat umeona kuwa wanataka watu wa diploma kujadili ishu za msingi. mm nashindwa kuelewa watu wengin sijui wapoje jiheshimu fanya yako tu.
 
Ndugu zanguni mlisoma Guideline vizuri lakini? maana kifungu No. 2.10 kilijieleza vizuri sana. Japo niliomba lkn kipengele hicho kilinifanya nijipange kivingine. Hii ndo Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…