JF tunapoelekea ni hatareee, soon sitoshangaa kuona na mzazi mwenye mtoto au mtoto wa medium school akija humu kuulizia siku ya kufunguliwa shule.
TWENDENI TU, JF THE PLACE WHERE WE DARE TO talk.
Naomba msaada wenu tarehe ya kuripoti DIT first year ni lin
Naomba msaada wenu tarehe ya kuripoti DIT first year ni lin
Masomo yanaanza rasmi tarhe 7.10.2013 kama una tatzo lngne niPM
Kwani washachaguliwa wanafunzi wa kujiunga na TAASISI HIYO?
ni form four wa mwaka jana walichaguliwa wakati wa selection za form 5,