Wale wa DIT tarehe ya kuripoti ni lini

Wale wa DIT tarehe ya kuripoti ni lini

Baq

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Naomba msaada wenu tarehe ya kuripoti DIT first year ni lin
 
JF tunapoelekea ni hatareee, soon sitoshangaa kuona na mzazi mwenye mtoto au mtoto wa medium school akija humu kuulizia siku ya kufunguliwa shule.
TWENDENI TU, JF THE PLACE WHERE WE DARE TO talk.
 
Kwani washachaguliwa wanafunzi wa kujiunga na TAASISI HIYO?
 
JF tunapoelekea ni hatareee, soon sitoshangaa kuona na mzazi mwenye mtoto au mtoto wa medium school akija humu kuulizia siku ya kufunguliwa shule.
TWENDENI TU, JF THE PLACE WHERE WE DARE TO talk.

sasa wewe haikuhusu una acha tutakuban kuwa mkubwa
 
Back
Top Bottom