Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naitamani ile enzi ladyfurahia enzi iliyokuwa na ndoa za kila aina ndoa zilizozaa familia zilizokuwa zinatambulika zikiakisi furaha migogoro changamoto mbalimbali na hata kupatanishwawengineo niliowasahau Karucee , atoto Arushaone (my shem) BAK, Mndengereko , MTAFITI , Pasco , ruby , Ruttashobolwa, madame X, mwallu, manchester , chelsea , MziziMkavu, zumbemkuu , miss chagga , Miss charity , Miss Bantu na wengineo hebu kujeni hapa
Dah. Zaidi ya mwaka. Hata Paulo.Hivi ushamuona OLESAIDIMU hivi karibuni?!
Hahahahah wewe bhana.... aliyekuambia ukaguzi umeisha ni nani? Hapa kwa mfano namkagua Heaven Sent baada ya kugundua Heaven on Earth alinicheat kwenye ukaguzi....Mi nakumbuka mzee Asprin na ukaguzi wa maduu wa jf kila mgeni alikaguliwa dah huyu mzee alikua shida kweli. Bila kusahau wings mbali upendeleo niupatie Arusha wing chini ya uongozi wa Arushaone na Liverpool fc. Hakika old is good .
Sorry nilitaka kumsahau Lady doctor miss chit chat ambaye ajapata wa kumuachia crown. Big up kwa bro wa nguvu figganigga much love.
Masai dada yupo wapi?wengineo niliowasahau Karucee , atoto Arushaone (my shem) BAK, Mndengereko , MTAFITI , Pasco , ruby , Ruttashobolwa, madame X, mwallu, manchester , chelsea , MziziMkavu, zumbemkuu , miss chagga , Miss charity , Miss Bantu na wengineo hebu kujeni hapa
hahaaaaa hivi siku hizi umeacha kufanya ukaguziHahahahah wewe bhana.... aliyekuambia ukaguzi umeisha ni nani? Hapa kwa mfano namkagua Heaven Sent baada ya kugundua Heaven on Earth alinicheat kwenye ukaguzi....
Tangia ulivonihujumu kasi yangu imepungua sana. Vikaguzi vyangu vililowea kwenye vikaguliwa vyako... haijapata tokea tena. Basi ndo hivo nshakuwa kama joka la maonesho, mpaka utakapokuja tena.hahaaaaa hivi siku hizi umeacha kufanya ukaguzi