WALE WA ENZI ZETU SPECIAL THREAD

Mi nakumbuka mzee Asprin na ukaguzi wa maduu wa jf kila mgeni alikaguliwa dah huyu mzee alikua shida kweli. Bila kusahau wings mbali upendeleo niupatie Arusha wing chini ya uongozi wa Arushaone na Liverpool fc. Hakika old is good .

Sorry nilitaka kumsahau Lady doctor miss chit chat ambaye ajapata wa kumuachia crown. Big up kwa bro wa nguvu figganigga much love.
 
Hahahahah wewe bhana.... aliyekuambia ukaguzi umeisha ni nani? Hapa kwa mfano namkagua Heaven Sent baada ya kugundua Heaven on Earth alinicheat kwenye ukaguzi....
 
hahaaaaa hivi siku hizi umeacha kufanya ukaguzi
Tangia ulivonihujumu kasi yangu imepungua sana. Vikaguzi vyangu vililowea kwenye vikaguliwa vyako... haijapata tokea tena. Basi ndo hivo nshakuwa kama joka la maonesho, mpaka utakapokuja tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…