1979-2000 katiika kati ya miaka hiyo.......
Mbona miaka mingi?
Kwahio ulimaliza ukiwa na miaka kama 25 au 26 hivi.
Ila kama ulisoma kati ya miaka hio IST ilikua na challenge nyingi sana.
Acha sasa kila student anatakiwa aende na Uniform.
Kipindi kile tulikua na zile T-shirt zilizoandikwa PEACE tu, unaweza uvae au usivae, [I hate that t-shirt] au pengine nguo zakufana ni za mazoezi tu.
Unajua kipindi kile kila student alikua anakuja na nguo zake atakazo.
Wanakuja students na sneakers utatafuta afrika mashariki yote huzipati hata kama una pesa ya kuzinunulia.
Na unajua ile miaka hakuna online shopping.
Ila kwa sisi students ambao tulikua tunajua kiswahili vizuri tulikua na maringo yakipuuzi hahaaaaaa.
Mabaniani and sikh wa TZ nao walikua wanajitahidi nao waonekane special.
Kuna dada mmoja nimemsahau jina lake, siku moja akafatwa na mnorway mmoja, Basi akasema "Akhaa babu wewe unikome" wanaojua kiswahili tulicheka kweli.
Mara mzungu wa watu kawa mwekundu kwa aibu.
Basi hio ikawa kama wimbo wa taifa, hata wadada wa Russia waliijua kuitamka kwa mbwembwe.
Fond memories of life at IST. Enjoyed my time in IST immensely , i think aout it often , and watching the informational video brought back many wonderful memories of the secondary school and life in Dar.