E eno masa Member Joined Jun 8, 2013 Posts 17 Reaction score 0 Aug 5, 2013 #1 kama kuna mtu aliye kasulu tc au amechaguliwa huko jamani 2wacliane nina shida.
E eno masa Member Joined Jun 8, 2013 Posts 17 Reaction score 0 Aug 5, 2013 Thread starter #3 nlitaka mawasiliano ili niombe ruhusa kwan nmechaguliwa huko na naona siku za kuripot zmebana kuliko uwezo wangu kfedha
nlitaka mawasiliano ili niombe ruhusa kwan nmechaguliwa huko na naona siku za kuripot zmebana kuliko uwezo wangu kfedha
M Mary ngusa Member Joined Jul 7, 2013 Posts 18 Reaction score 2 Aug 5, 2013 #4 Ndugu ni bora ukaenda 2 zen maswala mengne utaelewana nao ukifika coz ikishafika mwisho wa kuripoti hawapokeag wa2 kwel bt kam itashndikana kabysa nitakupa no ya mkufuz wa pale
Ndugu ni bora ukaenda 2 zen maswala mengne utaelewana nao ukifika coz ikishafika mwisho wa kuripoti hawapokeag wa2 kwel bt kam itashndikana kabysa nitakupa no ya mkufuz wa pale
Inno laka JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 1,616 Reaction score 585 Aug 5, 2013 #5 Mary ngusa said: Unashida gan? Click to expand... dah tuko pamoja
chotarasukari Senior Member Joined Jan 6, 2013 Posts 110 Reaction score 23 Aug 6, 2013 #6 jamani mbona chuo cha Kasulu hawajaweka join instraction ya certificate? msaada kwa hlo jamani
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 6, 2013 #7 Yanapatikana wapi hayo majina?
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Aug 6, 2013 #8 Njoo Kasulu ukifika tuwasiliane nikupe mawese.