wale wa kasulu teachers college

wale wa kasulu teachers college

eno masa

Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
17
Reaction score
0
kama kuna mtu aliye kasulu tc au amechaguliwa huko jamani 2wacliane nina shida.
 
nlitaka mawasiliano ili niombe ruhusa kwan nmechaguliwa huko na naona siku za kuripot zmebana kuliko uwezo wangu kfedha
 
Ndugu ni bora ukaenda 2 zen maswala mengne utaelewana nao ukifika coz ikishafika mwisho wa kuripoti hawapokeag wa2 kwel bt kam itashndikana kabysa nitakupa no ya mkufuz wa pale
 
jamani mbona chuo cha Kasulu hawajaweka join instraction ya certificate? msaada kwa hlo jamani
 
Njoo Kasulu ukifika tuwasiliane nikupe mawese.
 
Back
Top Bottom