Mwakapesa II JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 554 Reaction score 915 May 16, 2015 #1 kwa wale walio soma Kiluvya secondary tukutane hapa ili kujuzana yale yaliyo wahi kutokea enzi upo Kiluvya secondary na ni kitu gani ambacho unakikumbuka kutoka KVSS na mwaka ambao ulisoma hapo ili kufahamiana zaidi.
kwa wale walio soma Kiluvya secondary tukutane hapa ili kujuzana yale yaliyo wahi kutokea enzi upo Kiluvya secondary na ni kitu gani ambacho unakikumbuka kutoka KVSS na mwaka ambao ulisoma hapo ili kufahamiana zaidi.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Apr 28, 2023 #2 Kitambo sana
dadapesa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2020 Posts 366 Reaction score 659 Apr 28, 2023 #3 Kitambo kweli 2005-2008