Wale wa-kisure haya hawayajui

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011


Huku kwetu Uswahilini choo kinatumika masaa 24 ya siku katika siku saba za Juma.

Huna haja ya kusubiri tank lijae, unamsubiri aliendani amalize na wewe unaingia. Kama utakutana na ajali aliyetoka si mlengaji mzuri wa shabaha ni siri yako, inabidi usafishe kwani atakae ingia baada ya wewe atajua ajali ilikuhusu wewe.

Choo cha jirani kikijaa tunamkaribisha jirani na wapangaji wake watano ambao mmoja ana watoto watano, mwingine saba, huyu aliyehamia juzi amekuja na wake wawili na watoto tisa. Hawa wawili wana watoto watatu kila mmoja.
 
Choo cha wote lakini kipimo ni cha miguu ni cha mtu mzima...usijali mtoto atakuwa tuu hahaaa....kweli hawawezi kujua

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Choo cha wote lakini kipimo ni cha miguu ni cha mtu mzima...usijali mtoto atakuwa tuu hahaaa....kweli hawawezi kujua

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Tuna zamu za kusafisha choo, kama hijaoa inabidi umpe land lady hela ya usafi ama sivyo mkeo ana zamu yake.
 
Hilo li picha ni la nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…