Wale wa kulakula hovyo hivyo vyakula vya mtaani! Mnalishwa vilivyounguzwa na kemikali

Wale wa kulakula hovyo hivyo vyakula vya mtaani! Mnalishwa vilivyounguzwa na kemikali

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Huyu jamaa anaunguza karanga kwa kutumia kemikali ya "sulphuric acid" na kutembeza mtaani! Karanga! Karanga! Waswahili hatutaki shida ya mambo ya kuthibitishwa ubora tunaona tunanyanyasika!
 
Ndo kusema hiyo acid ni bei chee kiasi hicho mpaka aitumie kwa namna hyo anywa inafikirisha kibiashara
 
Ndo kusema hiyo acid ni bei chee kiasi hicho mpaka aitumie kwa namna hyo anywa inafikirisha kibiashara
Lakini si unaona mwenyewe mzigo wa karanga pembeni? Acid inakaranga fasta! Hii acid hiko nyingi maabara zq shule
 
Arusha nimesikia sana story za wamama wauza mihogo na vitumbua kutumia maji ya maiti ili kuvuta wateja....

Kuna ukweli?
Ndiyo ni kweli, mimi pia mgahawa wangu nilikuwa natumia sana hayo maji kupikia. Napata wateja kishenzi, maisha yanaendelea... Sote tunatafuta pesa tu.

Sa hivi nimebadili mbinu.. Lets find those money
 
Back
Top Bottom