Wale wa kulakula hovyo hivyo vyakula vya mtaani! Mnalishwa vilivyounguzwa na kemikali

Wale wa kulakula hovyo hivyo vyakula vya mtaani! Mnalishwa vilivyounguzwa na kemikali

Na hizi chips zinazokaangwa na mafuta ya transfomer vipi? Tena tamu na zina shape nzuri.
 
Hii mbona ni kawaida sana, watu wanatumia maji ya kutawazia tupu kwa kupikia vyakula mgahawani.

Woiiiiih
Tena anatawaza akiwa katoka kukandwa na baba tobo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom