Wale wa Lake Zone...

Wale wa Lake Zone...

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Namaanisha Mwanza na Musoma na vitongoji vyake,
Mimi ni mgeni huku,nimekuja kikazi pande hizi, natafuta kampani(girls only) tubadilishane mawazo(zaidi ya kimaendeleo) nyakati za jioni(baada ya muda wa kazi) aliyeko pande hizi ani'pm tafadhali.
Girls dont leave this opportunity to pass by...
 
Hapo Mza ulizia maeneo ya vitunguu utajipakulia tu mwenyewe hutajuta kwenda rock city
 
Maendeleo ya kuongeza population au?
 
jeneneke mi sio mwenyeji wa maeneo hayo, nimeokoka siku izi hehehe
 
Last edited by a moderator:
jeneneke mi sio mwenyeji wa maeneo hayo, nimeokoka siku izi hehehe

Yani hii defence yako Mtoto six inaonyesha we ni mnazi wa hizo habari.nikuulize ukiokoka masikio yanafumba kiasi kwamba mabaya yanayoendelea huyajui?ina mana me maeneo yote ya machangu nayajua me changu?haihusu kabisaa.
 
jeneneke mi sio mnazi wa k za kununua ila kujua mambo yanayoendelea sio lazima uwe muhusika, eg wapenzi wa mpira ni wengi ila sio wote wanaoweza hata kupiga dana dana lakini ukimuuliza atakuchambulia soka mpaka ufurahi, mimi ilikuwa zamani as we grow up intrest inaisha, nilikuwa intrested sana kujua hawa watu wanaishiji, sometimes naweza hata kuwasha gari usiku nikapige nao stori maeneo yao ila sio kuomba mechi, ilikuwa ni utafiti na udadisi
 
Last edited by a moderator:
vipi mleta uzi umepata company?

Wameuchuna,watu wa ajabu sana hawa with lots of positive development ideas I'll be going back to Dsm without having sharing with anyone...shauri zao bwana.
 
Namaanisha Mwanza na Musoma na vitongoji vyake,
Mimi ni mgeni huku,nimekuja kikazi pande hizi, natafuta kampani(girls only) tubadilishane mawazo(zaidi ya kimaendeleo) nyakati za jioni(baada ya muda wa kazi) aliyeko pande hizi ani'pm tafadhali.
Girls dont leave this opportunity to pass by...

pole sana mkuu, nilikuwa cjaona hii post yako. next time ukija tutaftane!
 
Na ugeni wako huo acha mihemuko unatafuta kugechwa na wakurya wewe
 
Back
Top Bottom