Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

Hii ndio tunaita elimu mkuu, asante kwa bandiko hili. Nitakuwa nalipitia taratibu ili kuongeza maarifa zaidi kwenye ulimwengu wa satellite dish na receivers.

Kwa sasa nimenunua FTA receiver yenye uwezo wa powervu, je unaweza kuelezea hii terminology ya powervu na jinsi inavyofanya kazi?

Najaribu sana kuunganisha wifi dongle ili niweze ku-unlock baadhi ya chaneli kwa kutumia internet.
 
Bro hio receiver ni aina gani bei yake tsh ngapi?
 
Mie hamu yangu ni local Chanel tu naweza pata zote za bongo kwa c band?
Unaweza kutumia antenna au dish, ni choice yako tu mkuu. Utapata channeli nyingi (karibia zote) za bongo for free. Ukitumia dish unaweza kupata movie channels za kutosha kuanzia za kihindi, HBO, MCB na nyingine nyingi, news channels kama CNN, BBC, Al-Jazeera, CNGT na nyingine nyingi tu.
 
Dish kubwa au Hata Haya madogo
 
Ukiona hivyo ujue haikuhusu. Inaowahusu wameshatoa Shukrani zao.
 
Nahitaji kufaham

Ni satellites gani zinazotumika kurusha matangazo ya live? Kwa mfano dstv au canal sports wanapoonyesha mpira live Kabla matangazo hayajatufikia sisi wateja.,wao matangazo huwa wanayapata kupitia satellite gani kutoka uwanjani? Na je vifaa gani hutumika kunasa hayo matangazo? Je kuna uwezekano wa mtu yeyote kupata matangazo endapo akaifaham satellite husika na vifaa husika pasipo kugunduliwa na watoa haki ya matangazo?
 
Kwahio mfano TBC na Chanel ten walibadiri masafa jee wabaki kwenye 906 au wako kwingine?
 
Mie niko mkoani antena mitambo mmejenga? Vifaa kamili ni tsh ngapi inakua tayari?
 
Kwahio mfano TBC na Chanel ten walibadiri masafa jee wabaki kwenye 906 au wako kwingine?
Channels za ndani, TBC na channels nyingi za home nime-tune IS 906 64.2°E. Pia ukifunga C band kwenye IS 20 68.5°E kuna channels za kutosha kuanzia Sony Entertainment, Discovery Channels India, BBC, CNN, HBO na AFN.
 
Channels za ndani, TBC na channels nyingi za home nime-tune IS 906 64.2°E. Pia ukifunga C band kwenye IS 20 68.5°E kuna channels za kutosha kuanzia Sony Entertainment, Discovery Channels India, BBC, CNN, HBO na AFN.
Yap,kwanini usifanye mpango mtu akisema anataka local una save mwenyewe iluli shughuli ya fundi isiwe ngumu wengi sio wataalamu sana,hebu fikili wazo langu iwaje?
 
HKL Kaa pembeni Ila unapoangalia mpira kama leo Barca anavyomfundisha kabumbu liverpool ujue kuna wakali tumeseti haya mambo. We kaa pembeni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…