Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji kufunga satellite dish nipokee hizo channels hapo juu, kuna mtu najua?Unaweza kutumia antenna au dish, ni choice yako tu mkuu. Utapata channeli nyingi (karibia zote) za bongo for free. Ukitumia dish unaweza kupata movie channels za kutosha kuanzia za kihindi, HBO, MCB na nyingine nyingi, news channels kama CNN, BBC, Al-Jazeera, CNGT na nyingine nyingi tu.
Ya dstv umelipia kifurushi gani??Msaada wakuu mimi niko na shida ya kuangalia mpira ligi ya bongo nina smartphone ina bando mchawi ni account ya azamTv max yangu kifurushi kimeisha sasa hapa usawa haukabi kwa mwenyewe azamTv decoder ambae hatumii kweny cm au hata anaetumia anisaidie ni angalie hata kwa leo tu wajameni.. Au aje tubadilishane anipe ya azamTv mimi nimpe ya Dstv.. Asante, Dm tafadhari.
Hii ni elimu kubwa sana. Naweza kukupata kwa mawasiliano gani mkuuPamoja sana tunajulishana hata kidogo tukicho nacho