Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

Mimi fundi hayo unayoyaongea nayafahamu sana ila huwa tunamshauri mteja kulingana na anavyotoka
 
Ww uko wapi hilo tatizo linatatulika
 
Yaa unaweza kuwa sahihi kwa sababu miaka michache nyuma walijiita Freesat na Sasa wamebadili Brand wanajiita Gt Media. Ila nilichonacho mimi kina power ON/OFF
Kuna min na Kombo hio yako ni Kombo
 
Local sizipati kwa sababu dishi nimeelekeza position ya 68.5e ambako kuna zile za Discovery channels na HBO movies na za kihindi kibao!
Kwa hiyo mkuu ukiwa na dish kama la azam na kingamuzi let say chochote ambacho unaweza kukiupgrade by OTA Nawezapata hizo chanel???
 
Kwa hiyo mkuu ukiwa na dish kama la azam na kingamuzi let say chochote ambacho unaweza kukiupgrade by OTA Nawezapata hizo chanel???
Kuzipata hicho channels unatakiwa kuwa na dish kuanzia futi 6 na receiver ya FTA lakini nzuri zaidi ni ile inayo support keys kama biss, powervu na dre
 
Kuzipata hicho channels unatakiwa kuwa na dish kuanzia futi 6 na receiver ya FTA lakini nzuri zaidi ni ile inayo support keys kama biss, powervu na dre
Mkuu naomba frqnce za hii kitu,nina kisimbuzi cha zuku hope itafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…