Ni biashara ya mazao kwa sasa, karibu sana.Habari zenu wakubwa wa jukwaa kubwa hili la kijamii tz na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Ninaimani humu ndani kuna kuna watu kutoka pande mbalimbali, basi wale wazee wenye machimbo pendwa ndani ya Mbinga na songea tufahamiane.
Kuna baridi sana huku sijawahi ona.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbinga kuna hali fulan inataka kufanana na ya njombe...ile milima milima,miti mingi,baridi ndo kwake hapo.Haswaa.. Yaani asubuhi mchana usiku, ni baridi.. Unafuu wa mchana ni kukiwa na jua tu
Naona mahind yameanza na bei nzur kidogo ukilinganisha na mwaka jana,ni mategemeo ya wengi kuwa yatapanda bei vizur sana baada ya muda mfupi.Zzao gani linalipa kwa sasa mkuu
OMuda huu unaaandika hii?
Yatafika mkuu,wakati kama huu mwaka jana kilo ilikua sh.130 had 150 hiv...mwaka huu wengi hawajalima na waliolima wengi hawajapata sana,na sasa kilo sh.380 had 400 huku kijijini,inaweza ikashuka kidgo msimu huu wa mavuno, lakin itakapopanda haitashuka tena.Huko mashambani, naona Kenya tunawauzia ni kweli inaweza fikia pazuri baada ya muda... Mwaka jana watu walipata hasara sana. Wewe unafanya hizo.?
Ndiyo nafanya,lakin kwa kias kidogo sana kifamilia.Huko mashambani, naona Kenya tunawauzia ni kweli inaweza fikia pazuri baada ya muda... Mwaka jana watu walipata hasara sana. Wewe unafanya hizo.?
Nasmile home boy nimekupata..Kama upo mbinga karibu kiwanja cha kijanja..hapa stend mlango wa kutokea magari.panaitwa PLUS DE LOUNGE...nipo nafanya yangu
Msalimie thomas majestic, mwambie salam kutoka MwanzaKama upo mbinga karibu kiwanja cha kijanja..hapa stend mlango wa kutokea magari.panaitwa PLUS DE LOUNGE...nipo nafanya yangu
Mahindi na ufutaZzao gani linalipa kwa sasa mkuu
Mwezi 10,11&12.ukitaka pesa zaidi Feb&marchMfano nikaamka kujitoa mhanga, nikanunua na kuhifadhi. Ni miezi gani soko litakua zuri ambapo nitauza kwa faida?
Hometown kabisa Zao la Huruma na Mbinga day nimefurahi kuona huu Uzi umenifanya nijihisi nipo home.Inaonyesha mnapiga sana bata wakuu..
Kumbe humu tumo tumo japo mkoa wetu umetengwa sana. Inapendeza sana.
Nitakuja keshoKama upo mbinga karibu kiwanja cha kijanja..hapa stend mlango wa kutokea magari.panaitwa PLUS DE LOUNGE...nipo nafanya yangu
Kama upo mbinga karibu kiwanja cha kijanja..hapa stend mlango wa kutokea magari.panaitwa PLUS DE LOUNGE...nipo nafanya yangu
Mahindi 400-430@1kg,mpunga upo mwingi mashambani bei ni kisado kimoja kati ya 1,200-1,500Oh... Naomba niulize Bei yake ikoje na soko lake hasa huu ufuta.
Nilidhani maharage na mpunga asee
Kama ni mwenyeji nenda vijijini huenda utapata angalau 1,000 @kisadoShukrani kiongozi. Nipatie location nitembelee
Kuanzia wa 9 hivi nadhanMfano nikaamka kujitoa mhanga, nikanunua na kuhifadhi. Ni miezi gani soko litakua zuri ambapo nitauza kwa faida?