Wale wa maeneo ya Songea - mbinga

Niliweka kufika huko hadi kijiji kimoja hiv kinaitwa lifakara.....tulikua tunatembelea mladi wa kuzalisha umeme wa andoya Kama sijasahau.......aisee huko ni kama dunia ya zamani yan pametulia miti ya kutosha
 
Andoya Tajiri wetu alisha R.I.P
 
Niliweka kufika huko hadi kijiji kimoja hiv kinaitwa lifakara.....tulikua tunatembelea mladi wa kuzalisha umeme wa andoya Kama sijasahau.......aisee huko ni kama dunia ya zamani yan pametulia miti ya kutosha

Duh bora hapo wengne tupo mbele ya hapo lifakara kunaitwa mpepai ukienda unaweza jua awaishi watu
 
Mnavyolitaja baridi mnanifanya niwaze mwezi wa nane baridi lake litakuaje kipande cha ndongosi..duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…